Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

ENEO

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ni Wilaya Moja kati ya Wilaya sita zilizopo Mkoa wa Morogoro

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ina eneo la ukubwa wa Km 14245. Ambazo zimegawanyika kwa kilometa kama ifuatavyo:-

· Kilometa  536,590 ni eneo la mashamba

· Kilometa  483,390 ni eneo la Uoto wa Asili

· Kilometa 323,000 ni eneo la hifadhi ya taifa ya mbuga ya wanyama Mikumi

· Kilometa 80,150 ni eneo la Misitu

· Kilometa14,420 Makazi ya watu, maji